Testimonies

Short stories from members who chose to share how God answered prayer. Your own prayer requests stay private unless you publish a testimony here.

Ndoa

Bwana yesu asifiwe, nashukuru Mungu kwa kuniombea ombi langu, mke nilioa aliyenitoroka Bado hajarudi tunawasiliana tu, kaniambia nioe mwanamke mwingine,

Frank Ndimbo · Jul 8, 2026

1.Mungu anaendelea kumpigania babu yangu anaendelea vizuri. 2.Mungu anatusaidia katika masomo yetu sana. 3.Nimetambua kusudi la maisha yangu, naomba Mungu anisaidie kulitimiza.

Rozalia Peter · Jul 2, 2026

Familia yangu

Hali ya sasa ya baba na mama sii kama hapo awali sahiv baba anazungumza angalau na kuelewana na mama,naamin mungu anazid kujibu

HERY YOHANA NYENZA · Jun 23, 2026

MUNGU AMENIFUNGUA KIFUNGO NA SASA NIPO HURU. NAMSHUKUR BABA WA MBINGUNI KWA KUWA ANASIKIA, NILIFUNGWA NA GIZA ILA SASA NAANZA KUONA NURU NA AFYA YANGU IMEANZA KUREJEA NA BWANA ATAZIDI KUNIANGAZIA NURU YAKE KWA KADIRI YA WINGI WA NEEMA YAKE🙏

Igabora Mgaya wizarana · Jun 21, 2026

Bwana yesu asifiwe!! Nina mushukuru Mungu sana kwa matendo makubwa anayo tenda kila siku ndani ya maisha yetu mimi n'a jamaa langu. leo nyumba ya kaka yangu imeungua wakati yupo safari n'a mke wake, Mungu asifiwe kwa sababu moto huo hawakuuona n'a wala hauku wazuru. pengine tungeongea habari nyengine leo. sofa zimurudie Mungu mkuu sana.Nina mushukuru tena Mungu kwaku nipa baraka zake, na kuniongoza kila siku. nilikua n'a tabia ya kuiba ila Mungu amanisaidia mpaka nashangaa nimeacha kuiba, kwa hili nasifu Mungu sana. ni mimi Rachel kutoka congo

Anonymous · Jun 16, 2026

kiukweli sikio langu bando halisikii na sijui kwa nini ila naamini ipo siku litasikia tena.

Bahati Nyakawani · Jun 2, 2026

UPONYAJI WA ETHAN MWANANGU

Napenda kumshukuru Mungu kwaajili ya uponyaji wa mtoto wangu Ethan Josephat kwasasa anaendelea vizur anakula vizuri hakika Mungu ni mkubwa mno

GRACIA OPPORTUNA · Jun 2, 2026

KUVUNJIKA MGUU

Nashukuru Mungu naendelea vizuri, Mungu ametenda

TIMOTHEO JOACKIM MAGANGA · May 27, 2026

Mungu amejibu haja yangu na hali niliyonayo sasa ni nzuri hakika Mungu anatimiza ahadi yake .mpaka muda huu naona miujiza inatendeka kwangu kila wakati

matendo said yalagwira · May 26, 2026

ugonjwa

Sinabudi kumshukuru mungu kwa kujibu maombi zangu,kwa sasa naendelea vizuri ata watu wameanza kusema kuwa nimeanza kubadilika kurudi ujana

John nyakwaka tugu · May 8, 2026

ugonjwa

Namshukuru mungu naendelea vizuri kwa sasa nimeanza kuona mabadiliko naomba mzidi kunisaidia kwa kuniombea maana vita yangu si kwa njia ya nyama bali kwa njia ya nguvu za giza

John nyakwaka tugu · May 8, 2026

ugonjwa

Nashukuru mungu naendelea vizuri sana na nimeanza kuona mabadiliko kwenye mikono

John nyakwaka tugu · May 8, 2026